Connect with us

Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa – Inama [Lyrics]

Lyrics

Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa – Inama [Lyrics]

Lyrics: Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa – Inama

Stream/download Mp3 Here

Sponsored Advertisment
Sponsored Advertisment

Diamond Platnumz

Ayolizer

Kukudekeza kama mtoto
Furaha unafurahia
Unapogeuka moto
Machozi unalia

Mwembamba mwenene
Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)
Penzi halijali umasikini
Laweza penda mtu yoyote

Penzi sio somo
Ukasome kwa kitabu
Penzi limefanya Harmonize
Afukuzishe mwarabu

Penzi oyoyo,
Limeleta kwa wanangu vita
Siku hizi siwaoni
Naishia kuwalike Insta

Hivo asiyekupenda
Achana naye
Anayekupenda
Pendana naye

Mambo stress
Ya nyumba ndani
Ebu cheza ufurahi
Kama songi limekolea

Asa inama
Ebu pinda mgongo(ooh ngo ngo ngo)
Oya inama(inama beiby)
Basi pinda mgongo(ngo ngo ngo ngo ngo)

Asa inama(inama beiby)
Ebu pinda mgongo
Kama tungi limepoza
Oya inama basi pinda mgongo

Fally Ipupa

Asa inama
Ebu pinda mgongo(nakupinda mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo

Asa inama
Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)
Oya inama basi pinda mgongo

Asa nionyeshe unanyonga je
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

Ah kiuno kifanye pedeli
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

Ah nyonga, na kupinda mgongo
Nyonga, nyonga kibasikeli
Nyonga kaa kibasikeli
Nyonga kama kibasikeli

Nakucheza ka goma la kashikwa midadi
Analishare lishare
Analishare lishare(analilili)
Analishare lishare

Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi
Analishare lishare(yuko bwi)
Analishare lishare(silali)
Analishare lishare(oooh)

Yeah Samuel Etoo
Didier Drogba
Wasafi
Fally Ipupa, the boss
Tozali kolo, wakokokate(Kokate)

Popular Searches
 • diamond nyonga kibaskel
 • nyonga kibaskel
 • download penzi vita by diamond
 • diamond platnumz nyonga kibqskeli mp3 download
 • download inama lyrics by diamond platnumz ft fally ipupa
 • diamond platnumz - anakudekeza kama mtoto
 • diamond platnamz nyonga kibaskel
 • audio diamond nyonga kibasikele
 • cheza ufurahi by diamond free mp3 download
 • inama video by diamond and fally ipupa
 • diamond ft fally ipupa lyrics
 • inama fally ipupa diamond mp4 video download
 • wimbo wa diamond inama lryics fal ipupa
 • nyonga kibaskel daimondi
 • lyrics inama donwload
 • fally ipupa ft diamond video
 • diamond ft fall pupa download
 • nyonga by ipupa and diamond mp4 download
 • inama by diamond platinumz ft fally ipupa mp4 lyrics
 • inama by diamond platnamz(audio)
Click to comment

Leave a Reply

I'd appreciate your comments

  Subscribe  
Notify of

More in Lyrics

To Top

Log in

You’ll be automatically logged in 5 seconds.

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot your password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Close
of

Processing files…

error: Our Contents Are Super Protected.